Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,247
Nimepambana kuomba maji ..kuwagongea watu usikuKaribu magimbi upate nguvu ya kutengeneza vizuri
Nimepambana kuomba maji ..kuwagongea watu usikuKaribu magimbi upate nguvu ya kutengeneza vizuri
eeh najaNjoo pm Kwanza nikubembeleze Leo Nina mood ya kubembeleza 😋😋
Weee sina komwe mie[emoji125][emoji125]Tuamshe kwa kuweka hilo komwe..
😀😀😀 Mkuu utatumalizia saruji viwandani, au unataka soko lote la kusini lije kwako tuu 😃😃😃..National Anthem weka oda chapView attachment 2373650
Thanks bro aluta continua ,, [emoji3][emoji3]viwandani haiishi nataka mpaka wanipe uwakala mkuu southern highlands[emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu utatumalizia saruji viwandani, au unataka soko lote la kusini lije kwako tuu [emoji2][emoji2][emoji2]..
Ninafuraha kwa ajiri yako Bro. Mungu akunyanyue zaidi
Lizzy unaenda wapi 😒😒National Anthem nakupitia....View attachment 2373679
Na sigara unavuta kumbe
Ndio mana nahitaji kuombewa my babe!☹️Na sigara unavuta kumbe
Scotch whisky [emoji39][emoji39] hapo upate na pork ribs [emoji91]
Wapi 😒😒Si kutembea...🙂
Si hapo bookshop....au??? Juzi nimezunguka kote na bado nikatoka bila 📙 📚 hata kimoja 🥴Wapi 😒😒