myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Salam kwenu wadau
😒😒😒😒Priority ni ku-prevent ofcourse!
Au niache uumwe ili tujue ntafanyaje....?😐😏😁
Sawasawa jirani, hujambo.Ijumaa kareem
Kwa waislamu tusisahau kwenda kuswaliView attachment 2372243
Sijambo jirani niambieSawasawa jirani, hujambo.
Na yako pia kijana wangu.Mkuu heshima yako tafadhari
Haya Mambo yana professional wake na hao watu ndio sisi..Na yako pia kijana wangu.
Kila nikiona id yako ninacheeeka sana🤣🤣🤣
Wengi wamebadili majina mkuuWamepotea sana...
Kuna mwana anaitwa Briz sijui yuko wapi!
Tuamshe kwa kuweka hilo komwe..Huku leo mmelala sana bana
🙄 Hii Bata itaniharibia siku..🏃
Acha uoga wee khenge🤣🙄 Hii Bata itaniharibia siku..🏃
Salama jirani...Ijumaa yenye baraka kwako.Sijambo jirani niambie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unaongea kwa adabu sana.
National Anthem taratibu nitakupora hiki kifaa🤣🤣🤣
Naanza kukuekewa flani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata usidanganyike...hii nazuga umma tu. Muulize National Anthem nilivyo na kawaida ya kufokafoka muda wote 😬😬😬
Sishauri 🥴🥴Naanza kukuekewa flani🤣
😀😀😀😀 Hakujui tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata usidanganyike...hii nazuga umma tu. Muulize National Anthem nilivyo na kawaida ya kufokafoka muda wote 😬😬😬