Au nitupie moja ya voice note zetu aone mwenyewe??🤔🤔😀😀😀😀 Hakujui tu
TutaonaSisi ni wahamiaji lakini 😏
Nini mbaya mamaa na hizo nyimboDunia haina huruma by Bahati Bukuku
😀😀😀😀😀 Una mtaalamu wa Usanifu majengo, amtolee kitu kwa harakaNational Anthem njoo nunulia baby wako cementView attachment 2372379
Glenn usimuwekee voice note 😀😀Au nitupie moja ya voice note zetu aone mwenyewe??🤔🤔
Nakuonaaaaaa 🙂🙂
Njoo unywe
Nini mbaya mamaa na hizo nyimbo
life is so unfair jamaniNini mbaya mamaa na hizo nyimbo
relax all is well all is well,,njoo iringa kutembea tembealife is so unfair jamani
Mungu ni mwema anyway
Umepigwa na nan? Kwanini?nimemaliza mwezi mbaya leo
nimepigwa leo
Asante sana ngoja nitulie nipange safari
Njoo pm chapstori ndefu aisee
ila amenivuta nywele huyo na nimesuka rasta kunikaba , ni Mungu tu
sina hamu kwa kweli.
Polestori ndefu aisee
ila amenivuta nywele huyo na nimesuka rasta kunikaba , ni Mungu tu
sina hamu kwa kweli.
nipo njiani nikitulia nitakujaNjoo pm chap