Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Unaongea kwa adabu sana.Naweza kukuwekea kidogo 😁😁
National Anthem taratibu nitakupora hiki kifaa🤣🤣🤣
Unaongea kwa adabu sana.Naweza kukuwekea kidogo 😁😁
Mambo yako kitambo sana
Weka basi ile bukta uliyovuliwa pale swimming pool🤣🤣🤣Haya huu usiku ndio muda wenu wenye makomwe watu si wengi wekeni picha sasa!.
Hatari sana mazee!Mambo yako kitambo sana
Umetelekeza uzi wa gospel songs babaaHatari sana mazee!
Anhaaa, ule ngoja nizikusanye Audio niwe naziweka!Umetelekeza uzi wa gospel songs babaa
Naona umeshangaa ulishausahau?Anhaaa, ule ngoja nizikusanye Audio niwe naziweka!
Hapana, sikufahamu kwamba ulikuwa unaufatilia!Naona umeshangaa ulishausahau?
Mambo yangu hayo mkuu nami nilirushia wa Travis kuleHapana, sikufahamu kwamba ulikuwa unaufatilia!
Daah, safi sana mkuu......Mambo yangu hayo mkuu nami nilirushia wa Travis kule
Ukitupia unitag mzee mwenzangu.Daah, safi sana mkuu......
KP, mwaka 2016 hiyooo.Ukitupia unitag mzee mwenzangu.
Najua wewe hubadilika kulingana na majukwaa.
Kitambo sana enzi zetu zile unatupia makitu KP forum kila weekend😂😂😂
Mbona niliwekaUkaniacha njiapanda tangu ile siku bado hujaoga Wige??![]()
Mkuu heshima yako tafadhariWeka basi ile bukta uliyovuliwa pale swimming pool🤣🤣🤣
Mtaniua njaaa basi 😀😀😀.. Acha nijiimarishe. Unyonge basiUnaongea kwa adabu sana.
National Anthem taratibu nitakupora hiki kifaa🤣🤣🤣