Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Antonnia nina bahati mbaya best, kila nikiingia nakuta ushafuta picha. Nazikuta tu replies za wadau wakimwaga sifa.
Lol 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️! Sifa wapi mkuu picha za kawaida sana!! Ni kwa msaada wa filters tu labda!
Fanya kuibless Thursday Yangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!😉
 
Sio rahisi, kila nikiingia baada ya siku 2 nakuta sifa kibao. Hadi nimehisi napunjika. Leo nakita kambi hapa hadi nione hiyo pisi kali ambayo kila mtu anaisifia.
 
Mwehh!! Kali wapi mkuu humu kila mtu tunamsifua sie hatuna tabu na mtu kabisaaa sie humu hata wewe ukitupia tunakusifia balaaaa!! That's our selfika family!!
So ni trend ile ile ya kusifiana tu mkuu!
 
Back
Top Bottom