Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,241
- 90,419
huu mtihani wa selfi huwa ndo unanifelishaNasubiria ka selfii hapa ujue nifanyie wepesi mjedaaa tumeanza vizuri kabisa ujue🤩
huu mtihani wa selfi huwa ndo unanifelishaNasubiria ka selfii hapa ujue nifanyie wepesi mjedaaa tumeanza vizuri kabisa ujue🤩
Tangu lini nimekuwa mnene vile?😂Weee uongoooo kwaile picha wewe ni mpigwaji ! Hebu toa ile emoji unibless mdogo wangu
ticha umeamua kunifelisha kwa mtihani wa picha?Vibaya hivoo mjeda!! Mbona unataka kufeli sasa🤔!! usiniangushe Jitahidi
Kabisaaa... tumeenda vizuri kabisa Nilikua on the way kuja kujilia mavituz sasa ushafeli kizembe sana!!huu mtihani wa selfi huwa ndo unanifelisha
Umejifelisha mwenyewe mjedaa! Tena nilikua na mambo yakoo yalee unayopendaga hapa sasa umezinguaaaaa!!ticha umeamua kunifelisha kwa mtihani wa picha?
hahahaha,dah ukweli uzembe,nitajiwajibisha kwa uzembe huuKabisaaa... tumeenda vizuri kabisa Nilikua on the way kuja kujilia mavituz sasa ushafeli kizembe sana!!
Weee niwewe yulee!! Sikuhizi bwana pep anakupa vitam na vinono wajinenepea kwaraha zakooo.....👌👌Tangu lini nimekuwa mnene vile?😂
Kabisaaa nilikuandalia mavituz umekosa kizembee mnooo!! Just selfii imagine!!hahahaha,dah ukweli uzembe,nitajiwajibisha kwa uzembe huu
Pigo za kizee😁😁Antonnia kazi kwako sasa ,mie nipo pale nasubiria
naenda kupiga sasa hvKabisaaa nilikuandalia mavituz umekosa kizembee mnooo!! Just selfii imagine!!
Nakusubiria hapa sitokiiii!! 🙇🙇🙇🙇🙇 Fanya hivoo sasa mjedaa!naenda kupiga sasa hv
Ndio nazitaka mie Mjomba Vijana speed zenu siziweziiii😁😁😛!Pigo za kizee😁😁
Kwakua mzee katia kambi acha nitoe tyre kabisa nisije hata kukusaidia shambaniNdio nazitaka mie Mjomba Vijana speed zenu siziweziiii😁😁😛!
Aisee..
huu mtihani unajua tichaNakusubiria hapa sitokiiii!! 🙇🙇🙇🙇🙇 Fanya hivoo sasa mjedaa!
Bado hajatia kambi mjeda kazengua Nipo tu naendelea kupambana nahali yangu auntiee yako!!Kwakua mzee katia kambi acha nitoe tyre kabisa nisije hata kukusaidia shambani
Mwepesi sana mbona jamani!!! Tupia dakika sifuri kisha ufute mjeda acha uchoyohuu mtihani unajua ticha