Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ukaadimika msukumaTrouble in paradise. Mgeni huyu Īan leo kaja na nguvu kweli kweli. Giza totoro, upepo wa kutikisa nyumba na mvua za kutisha mbengo zimefongoka utafikiri wakati wa Nuhu. Yote kwa yote Mungu Ametusimamia na kila kitu kitakuwa salama
View attachment 2371122

