Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,241
- 90,419
we unafanya mambo magumu kwa kuangalia watu,shauri yakoWewe Sema kweli mjeda?? Tusibaniane kabisa kabisaaa??🤔🤔🤔
we unafanya mambo magumu kwa kuangalia watu,shauri yakoWewe Sema kweli mjeda?? Tusibaniane kabisa kabisaaa??🤔🤔🤔
Nakosa mema ya nchi ausio!!! 🤔🤔 Sasa unanishaurije Ndugu mjeda?? Hebu tia neno!!we unafanya mambo magumu kwa kuangalia watu,shauri yako
tena unakosa mengi kweli kweli,ushauri wangu tuwasiliane,usiogope macho ya watu, sie wazee wastaafuNakosa mema ya nchi ausio!!! 🤔🤔 Sasa unanishaurije Ndugu mjeda?? Hebu tia neno!!
Sema Hakyanani mjeda!!🤔🤔 Hebu tupia selfii moya kwanza nione kweli kama ushastaaf ! Nipo hapa nasubiri👇👇tena unakosa mengi kweli kweli,ushauri wangu tuwasiliane,usiogope macho ya watu, sie wazee wastaafu
hahaha huwezi kukosa nafasi ni moja na ni wewe tuKwahio nakuje kule kwenye usaili mjeda?? Nahisi nshafeliiii nishakosaaa
Mbona tayari tuna Kajunia😁,Mimi na Baba MtumishiNdio Ni ka babygirl,,, na mpendwa Nuzulati pia I hope wote wanaendelea vizuri!!
Fanya hima mkuu watoto ni baraka sijajua Saint Anne na Yolly Yolly ake putin possibly mwakani![]()
hakyanani ,njooSema Hakyanani mjeda!!🤔🤔
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!! God is good!! Tunasubiria mwakani tulete mizawadi tyu hapa Anne Teinnnaaaaaaa 💃💃💃 mizawadi kama yote!Mbona tayari tuna Kajunia😁,Mimi na Baba Mtumishi
Mimi ni mpiga pichaUmependeza sana ila toa emoji hio !!
Tupiapo ka selfii one time bathiii unanibania hata mie🤔🤔??hakyanani ,njoo
Boss leide tayari ni mwenyekiti wa kamati ya vinywaji mkemia wetu.,utamsaidia HS kwenye mavazi maana nako upo vizuri.Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!! God is good!! Tunasubiria mwakani tulete mizawadi tyu hapa Anne Teinnnaaaaaaa 💃💃💃 mizawadi kama yote!
humu nikitupia ni nomaTupiapo ka selfii one time bathiii unanibania hata mie🤔🤔??
Weee uongoooo kwaile picha wewe ni mpigwaji ! Hebu toa ile emoji unibless mdogo wangu
Mimi ni mpiga picha
hahahahahaMimi ni mpiga picha
Nasubiria ka selfii hapa ujue nifanyie wepesi mjedaaa tumeanza vizuri kabisa ujue🤩hahahahaha
Vibaya hivoo mjeda!! Mbona unataka kufeli sasa🤔!! usiniangushe Jitahidihumu nikitupia ni noma