Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakati mwengine huwa sina nauli ya kumfata yolly yolly kwao huwa natamani nimkute humu humuu
Nyie kupendwa raha
Nawaambia hivi tutawaonyesha jinsi Gani penz letu lilivotaradani ili muige mfano wetu yolly yolly ukizidisha kidogo tu nakuchora tattoo
 
Tafuta hela umpeleke yolly yolly Dubai
Maneno matupu atakuchoka siku si nyingi uanze kumlaumu
 
👣👣👣👣👣👣
40952.jpg
 
Back
Top Bottom