Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,899
- 136,564
Njema mkuu wa,,,,,,,Mkuu wa shule ya msingi.....
Habari za asubuhi
Njema mkuu wa,,,,,,,Mkuu wa shule ya msingi.....
Habari za asubuhi
😄😄😄😄 Humu wapo wengi ila ndio wabaguzi sana ila Hannah kama anakufaa kupata mifuko ya cement na nondoHahaha sawa Kaka mtoto yupi huyo nikusaidie kupiga debe mniungishe cement,,na Mimi nitafutie kabinti humu kakukahonga cement na nondo
😊😊 Nipo Absa kwa nyuma nafika hapo sasa hiviNjoo uniongezee uvumilivu maana nshachoka 😵😵View attachment 2370630
Akinikubali niite mkuu. Hata mimi nahisi nishaanza kumpenda.
Yani mtu unabadili ID unabadili avatar kwenye mahusiano utatulia kweli ww![]()






Nakusubiria 😊😊😊 Nipo Absa kwa nyuma nafika hapo sasa hivi
😋😋😋 Mie nataka cocaNakusubiria 😊View attachment 2370632
Sina wasiwasi na Bibi yenu,Ndio babuu naogopa kugechwaaaa!! Lol itabidi usafiri nae sasa unamuachaje bibi aende pekeake Lakini huko Mjini kumeharibika babu jipange muende wote Babu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Kweli wazee mna busara sana babuu hongereni sana!!Sina wasiwasi na Bibi yenu,
Unajua tumeshazeeka saivi na kikubwa Wazee tuna slogan yetu kuwa "Kitanda Hakizai Haramu"🤪
As long tumeoana basi watoto wote ni wangu hata kama ni matokeo ya mechi zako za kirafiki huko nje 🤪💪
Ninyi Vijana ikitokea hiyo hali basi na ndoa inavunjika hata kama Ina wiki 8🙆
Amen MjukuuKweli wazee mna busara sana babuu hongereni sana!!
Wewe em lala 🤣🤣
Labda uje tulale 😄😄😄Wewe em lala 🤣🤣
Nisubiri hapo hapo nakujaLabda uje tulale 😄😄😄
Kwa chap chap 😋😋Nisubiri hapo hapo nakuja