National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Supu ya samaki huwa na enjoy mwanza, napenda wanawake bamia na nynya chunguu mingii, na mboga mbogaa, msamaki huoo.. Nikikaa wiki mbili huwa natoka kitambi ππHuyo ni wa kike [emoji1787]
Hii comment nimescreenshot.. π€£π€£Baadae jaman mliopo single [emoji2089][emoji2089][emoji125]
Endeleeni kuperuzi mitandaoni mm naenda kumperuzi yolly yolly wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo single afu una komwe una kitambi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Basi acha ata Melo atupe kazi, maana kutwa tunashinda hapa kuliko ma mod wenyewe ππJaman me si jobless kama wew my wangu
π πUnajua mdg angu........aaah unajua mdg angu......mim mama angu alivyougua tu nikakosa pesa ya kujiunga na chuo Kuna hao ma kaka upande wa baba nkawa nawaomba pesa niongezee nilipie ada na mambo madg madg kila siku ikawa unajua unajua.........Tokea siku hyo sijawai wapgia sim wakiniuliza hivi unaish wapi nije kukutembelea na mim hua ntawaambia unajua unajua unajua
Utaniacha na nani my empress πππAiseeeee ntaka niifute hii app na kuitoa kwnye website maana hali ni mbayaaaπ
Ntaamia kwa bimkubwa wakoπππngoja nipack nguo chache hapa nihamieUtaniacha na nani my empress πππ
π€π€π€π€π€π€ Waooo mambo niyapendayo hayo yanakujaNtaamia kwa bimkubwa wakoπππngoja nipack nguo chache hapa nihamie
Nipe location nitume vijiko na vibakuli chap chapπ€π€π€π€π€π€π€π€ Waooo mambo niyapendayo hayo yanakuja
ππ Uwahi kwa haraka unanikuta nakusubiriaNipe location nitume vijiko na vibakuli chap chapπ€π€
Chap chap niko hapo utaniona nimevaa gauni la njanoπππna mfuko wangu wa shangazi kajaππ Uwahi kwa haraka unanikuta nakusubiria View attachment 2369700
πππ Eeeh tumekubaliana kuanzia maisha hata chini, hadi tuwe na kijiji chetu na wewe uwe empress wangu na mie emperor wako πChap chap niko hapo utaniona nimevaa gauni la njanoπππna mfuko wangu wa shangazi kaja
Wamenituma nikwambie kwamba hawatishikiβ¦ Bj watapiga na uvinza wataenda ππ±π±π±π± Carrasco putin umeona mambo yenu hayooView attachment 2369685
πππ Watukutu hao, ebu nipe ka experience kako mala ya kwanza kufatwa uvinza ulijisikiajeWamenituma nikwambie kwamba hawatishikiβ¦ Bj watapiga na uvinza wataenda π
Ndio my wangu ngoja bas nimalize kupack hapa nije hapo chap nsicheleweπππ Eeeh tumekubaliana kuanzia maisha hata chini, hadi tuwe na kijiji chetu na wewe uwe empress wangu na mie emperor wako π