Selfika na JF: Snap it. Show it

SIKU NIKIMALIZA ONE YEAR IN "A" RELATIONSHIP LAZIMA NITACHINJA MBUZI..![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila hapa naona mpka ndoa huyu yolly yolly[emoji7] wangu hajui kukasilika hajui kununa hana wivu ni mcheshi ninachompendea anapenda niwe naenda kulala kwao
Yani mliopo single Muda wote mnakuwa na hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukifikisha mwaka niite mbwaa nimekaa hapa hapaπŸ˜„πŸ˜„
 
Ukifikisha mwaka niite mbwaa nimekaa hapa hapa[emoji1][emoji1]
Embu nitolee uchawi wako hapa [emoji34][emoji34][emoji34] ngoja nimpigie simu yolly yolly[emoji7] wangu
natamani tupendane,daima yolly yolly tufurahike.[emoji108][emoji108][emoji108]
penzi liwe nene,wengine wasiniteke.[emoji322]
moyo umekuchagua,nikupendae ni wewe.

Upo single afu unatumia tecno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuoa wewe mwenyewe si unaona ulivyonipa makavu, sinq hela wala kazi, zaidi ya kulelewa home.. Maana mama siku aki charuka nafukuzwaa nitapeleka wapi toto ya watu 😊😊
Unataka niwe wife material kama kwenye bongo movies nikuigizie β€œ amna mume wangu tutalala ata chin kwenye vibaraza vya watu mm ntakua mama ntilie ntabangaiza mpaka ije siku yetu πŸ˜πŸ˜πŸ˜β€¦ hheeehhhee
 
Thobotooooo, sasa hivi analiwa huko kwanza πŸ˜„πŸ˜„
 
Unataka niwe wife material kama kwenye bongo movies nikuigizie β€œ amna mume wangu tutalala ata chin kwenye vibaraza vya watu mm ntakua mama ntilie ntabangaiza mpaka ije siku yetu πŸ˜πŸ˜πŸ˜β€¦ hheeehhhee
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hapo nitanyanyasika tukipata mali, utaanza kusema heee, bila mimi usingefika hapa bila mimi usingejengaaa sitaki hayo masimango, acha nipambane tu, usije ninyanyasaa mie buree
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hapo nitanyanyasika tukipata mali, utaanza kusema heee, bila mimi usingefika hapa bila mimi usingejengaaa sitaki hayo masimango, acha nipambane tu, usije ninyanyasaa mie buree
Hehehehe ntajaribu kutokunyanyasa ntajaribu lakinπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†ila masumango lazma yawepo we uvumilie tuu
 
Umeliwa kijana ,jiandae kwa K.OπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…