Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,199
Nani mwingine anapenda huu mchezo wa kuminya hizi sponge
pole aiseeYaani.
Nilitingwa na kazi
Mamaapole aisee
kikubwa umemaliza
huwa vinalia hiviNani mwingine anapenda huu mchezo wa kuminya hizi spongeView attachment 2369288View attachment 2369289
habari KakaMamaa
Njema sana...miss youhabari Kaka
nimekumiss piaNjema sana...miss you
Mkwepuuuuu[emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]
Asante .pole aisee
kikubwa umemaliza
Ndiyo [emoji23][emoji23][emoji2]huwa vinalia hivi
ooh udobi si mchezoAsante .
Ndiyo,Nimefua,nimeanika kabisa.
Kesho niendelee na mambo mengine.
huwa ni raha ,mpaka vitobo viishe .Ndiyo [emoji23][emoji23][emoji2]
Yaani nilivuoliona hili dude nikachukua..
Sasahivi narefresh Kwa kuminya[emoji23]
[emoji16]ooh udobi si mchezo
bora umemaliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwa ni raha ,mpaka vitobo viishe .
unapunguza stress hapo
utotoni eh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka mbali
Maisha yalikuwa mazuri sanautotoni eh
precious moments
stress free lifeMaisha yalikuwa mazuri sana