National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
Umemsikia fundi mboso hapo kijana yule hatari ukimsikiliza unajikuta unapenda na kugomea u single 😄😄National Anthem usipoangalia leo utachizika na hizo MB wallah😒
Umemsikia fundi mboso hapo kijana yule hatari ukimsikiliza unajikuta unapenda na kugomea u single 😄😄National Anthem usipoangalia leo utachizika na hizo MB wallah😒
Ugomee usingle kisa mboso jaman mbona maajabu na ndio nayasikia kwako hapaUmemsikia fundi mboso hapo kijana yule hatari ukimsikiliza unajikuta unapenda na kugomea u single 😄😄
Ebu sikiliza haka kakipande 🙂🙂🙂 unajikuta unatamani umuimbie umpendaeUgomee usingle kisa mboso jaman mbona maajabu na ndio nayasikia kwako hapa
Haya ngoja nimtafute mtu wa kumuonesha mashamsham😆😆😆Ebu sikiliza haka kakipande 🙂🙂🙂 unajikuta unatamani umuimbie umpendae
View attachment 2369013
😄😄😄😄 Usikawie sanaHaya ngoja nimtafute mtu wa kumuonesha mashamsham😆😆😆
Mbona na mie nakusubiria wewe....? 😲😲
Nkiweza kuimba kama zuchu ntamtafuta aiseee😄😄😄😄 Usikawie sana
🤦♂️🤦♂️ Nilisahahu uwe unanikumbusha nitalala njaaMbona na mie nakusubiria wewe....? 😲😲
Huyu mtoto fundii, ukisikia hadi unasinzia unahisi unabembelezwa wewe kumbe anabembelezwa Mond BinladenNkiweza kuimba kama zuchu ntamtafuta aiseee
Sawa kaka ake Zuchu maana sio kwa hizo nyimbo zakeHuyu mtoto fundii, ukisikia hadi unasinzia unahisi unabembelezwa wewe kumbe anabembelezwa Mond Binladen
View attachment 2369045
👣👣👣👣 Sasa nimlie mingo dada wa kazi wakati anaenda kuoga, bye bye 👋👋Sawa kaka ake Zuchu maana sio kwa hizo nyimbo zake
Usisahau kupitisha deki mkuu👣👣👣👣 Sasa nimlie mingo dada wa kazi wakati anaenda kuoga, bye bye 👋👋
Au tufanye kama tumefunga??🙄🤦♂️🤦♂️ Nilisahahu uwe unanikumbusha nitalala njaa
Kama kawaaa, hapa naanza piga mswaki ka colgate active, namungunga na pipi kifua na kachupa kangu ka asali, maana pale ili panogw unamwagia asalia kidogo.. Unakuwa una mung'unya ule utamuu huku unaopita kwenye chaki kama zidane vile.. Dada wa kazi ana kaziUsisahau kupitisha deki mkuu
Kila la kheri
😐😥 Mie nakulaAu tufanye kama tumefunga??🙄
Dada wa kazi nahis atakubali kufanya kazi bure😆😆😆😆hongeraKama kawaaa, hapa naanza piga mswaki ka colgate active, namungunga na pipi kifua na kachupa kangu ka asali, maana pale ili panogw unamwagia asalia kidogo.. Unakuwa una mung'unya ule utamuu huku unaopita kwenye chaki kama zidane vile.. Dada wa kazi ana kazi
Wameanza kuvaa sare sare. Si tulishona hadi zile za vitenge.Carrasco putin nakuona unabebika ila mda mwalimu muzi kesho unaachana unakuwa single kama Mad Max .. Unapiga salee tuu eee.. Ngoja uachwe ng'ombeee weweeeView attachment 2369057
Tafuta husiano lako acha roho mbaya😏Carrasco putin nakuona unabebika ila mda mwalimu muzi kesho unaachana unakuwa single kama Mad Max .. Unapiga salee tuu eee.. Ngoja uachwe ng'ombeee weweeeView attachment 2369057