Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😃😃😃 Maureen acha tu, alifanya nisitumie iPad maisha yangu hadi leo, kila nikiona iPad namuona.. wakati kanasoma chuo nili kahonga iPad piruuu.. Nikizionaga natonesheka picha inarudi
Doooohhh sijui na mm niwe na husiano na wewe nipewe MacBook pro😆😆😆
Pongezi kwa maurini kwa kupeperusha bendera vyema
 
😟😟😟 Sasa hivi nakaaa nyumbani kwa mamaaa, nitakuchakazaaaa hata usitamanike tenaaa.. Vyeti feki si ndio sisi mzee mwenyewe alivyo tuchomoa tukarudi nyumbani, hata infinix siwezi toa sasa hivi.. Nime kamiss sana leo dah😊😊😊 sijui nako kame ni miss
 
Ncheke mieeeeee😆😆😆😆😆akukumbuke kwa lipi sasa jaman
Labla zile asali alizokua analambwa
 
Back
Top Bottom