Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220926_162349_com.google.android.youtube_edit_14301471722296.jpg

Ni mwendo wa 4G+ hapa 🤦‍♂️🤦‍♂️
 
🙄🙄🙄 Uzuri mie home hawafukuzi mtu kuna Bro wangu mwingine hadi kao hapa hapa hadi kazeeka kama ukoo wote tunaishi hapa kazi kwetu mabepari hamtaki kukaa home mnaona aibu.. Mie hapa siondoki hata nioe
Usiondoke zako mwaya tena ufanye chap na wew uoe uwe na watoto wako hapo hapo. Si unajua dunian tunapita makao yetu ni mbinguni
 
😒😒😒 Weee.. Dume na kweli kuna beki tatu mmoja nimesababisha alienda angalia hospital kakuta ametunga mtoto mwanaume.. Utakuwa na maono wewe😃😃😃
Sina maono yoyote. Mtu unakula zako vzuri kazi kidogo sasa mbegu lazma ziwe vzuri nazo chappp mtoto wa kiume. Hongera lakin jitahidi next time watoke mapacha😆
 
Back
Top Bottom