National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😃😃😃 Hapa nimekaa napiga maziwa fresh ya moooo.. kamua weka kwemye kombee na kiazi ( manumbu traamu), nyumbani ni nyumbani tuu.. Ivi mnakimbiaga kujitegemea mnakosa niniKweli bando la bimkubwa unalitendea haki🤭