Ahsanteee dear,hao St.Mary's Mazinde niliwatamani na fomu nlitaka nichukue Ila Sasa nimeshindwa kitu kimoja ,kishika shule Yaani mfano dogo akifauli interview natakiwa nitoe pesa ya kushika jina almost 1m,Hapo bado hujatoa bahasha kidogo ili achaguliwe nimechoka balaaaa!nimechemka natafuta ambayo Haina makando kando ya kushika jina,wala kupita mgongo wa nyuma!maana uchum wenyewe wa mapambano huu!
Ndo hvyo tu mtoto asome hakuna namnaa!
Anwarite ngoja nifatilie kipenzi