Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Attachments

  • 16640452743826617034211103845182.jpg
    16640452743826617034211103845182.jpg
    657.6 KB · Views: 15
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuwaza hata huyu mtu anaweza kuja kutamka, aliyenitamkia leo tsup.

Nataka nimuambie asubir, anitongoze live, kwa cm sitaki.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
mapenzi huanza kama maua
mnaanza kimasihara

live inanoga eeh hebu afanye hivyo
 
Baba tenaaa its ladies day out bana acha mambo yakooo mbona umenikomalia ivoo leoo unataka kuanza wangaa Mr vocha kila lakheri nawanga wakooooo! Putin amekuambukizaa wangaaa
Nimewatania warembo wa selfika
Chapeni vyombo
Mwambieni mhudumu awahudumie na bili inifikie chap
 
Back
Top Bottom