National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
[emoji328] Weekend
Tumeuona mkono wa Bwana[emoji445]View attachment 2366430
Asante dearKuna wimbo wao unaitwa "imenigharimu" usikilize dear.
Acha tu leo naogopa ata kutembeaMad Max ๐ค ๐ค ๐ค kama nakuona badae unanikuta na ex wako View attachment 2366444
Yaani hapa hata kwa bunduki sitoki nje๐Eeeh! Ndio maana hutaki kutokaa.. ๐ค ๐ค
Njoo hutaki haya basi ๐๐Yaani hapa hata kwa bunduki sitoki nje๐
๐ค ๐ค Tembelea makalio, ukitembea kwa mguu msala.. Unanikumbusha mika mingi kuna mtu alinitoa bikra alafu akaniacha, ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nilipagawa kinomaaa..Acha tu leo naogopa ata kutembea
This song daah, maneno yanagusa hadi ndani
Ngoja jioniiiNjoo hutaki haya basi ๐๐
๐๐๐ถ๏ธ๐ถ๏ธ๐ถ๏ธ Na zawadiNgoja jioniii
Saivi nipo kiupako zaidi๐ niache
Gari gani? Nishanywea Heineken.๐ค ๐ค Tembelea makalio, ukitembea kwa mguu msala.. Unanikumbusha mika mingi kuna mtu alinitoa bikra alafu akaniacha, ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nilipagawa kinomaaa..
Halafu ni watu wa familia moja (ndugu).This song daah, maneno yanagusa hadi ndani
Nishaudownload kwa simu
Ila hawa watu wanaimba sana + sauti zao wanazipangilia vzuriView attachment 2366456
Zawadi pilipili?๐๐๐ถ๏ธ๐ถ๏ธ๐ถ๏ธ Na zawadi
๐ค ๐ค ๐ค Unatembelea ngoko kama mie eee... Mapenzi yanaumaaaaGari gani? Nishanywea Heineken.
Basi ๐ฅ๐ chagua kimojaZawadi pilipili?
Akuu sijiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni wana ushirikiano sana, nyimbo zao nazipenda sanaHalafu ni watu wa familia moja (ndugu).
Nyimbo zao nyingine zina miondoko tofauti na huo Mkono wa Bwana. Nahisi waliona watafanana sana na kwaya ya kijitotonyama.