Kabisaaa sis awe na Amani kabisa wifi etu mzungu Alayna mie mr Vocha Simuweziiii πππππππππ!!
Nataka bwana mzunguu sis tena kizeee au kama ni mbongo nataka kibabuuu kabisa nifanyie koneksheni sis ake nakuaminia!! Vijana mambo miambiliii kidogooo!! Siwawezi Mie!!π
Vijana mie nawawezea wapi mr vocha mie hizo hekaheka nishamaliza kitamboooo nawaachia bints vigoriiiiii!!
Mie kama kuna mzee fanyeni kunipasia hapaaa ππ
Ila humu sewaweziiiiiπππππ
Mjomba ana watu wakeeee huyooo hata wee wajua hiloo mr Vocha π ila vibinti vinashindwa hata kumsafisha sharubu nikaona jana nimsaidie kushevu tu mjomba Wangu mapenzi nishastaafu kitambo sana miee!!