Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 18,988
Nilikuja kusafirisha bidhaa Alexprosper
Nilikuja kusafirisha bidhaa Alexprosper
Ngoja tutabook lile la express nauli 60,000 watu wawili itakuwa 120,000/= mpaka Arusha kwa kina queen liciouz 🤣Nipo hapa Mbagala rangi 3
Nikaonane na shoga angu D huko😅Ngoja tutabook lile la express nauli 60,000 watu wawili itakuwa 120,000/= mpaka Arusha kwa kina queen liciouz 🤣
Wapi hapaGood morning wanaselfika wote hope mmeamka vyedi kabisaaa.View attachment 2363309
😂😂Dah
Amen.SIKU MPYA ANZA SIKU YAKO UKIWA NA MAWAZO CHANYA BILA KUJALI UGUMU AMA VIKWAZO UNAVYOKUTANA NAVYO
ASUBUHI NJEMA WATU WA MUNGU MBARIKIWE SANA![]()
Uje wapi Tena?Nije tubarikiwe wote![]()
Mkiwa mnabadili majina ya id zenu muwe mnatushirikisha kwanza nimekutafta miaka nenda rudi wewe yna2Uje wapi Tena?
Mkiwa mnabadili majina ya id zenu muwe mnatushirikisha kwanza nimekutafta miaka nenda rudi wewe yna2
Kwan ww upo wapiUje wapi Tena?
Jirani na kuzimuKwan ww upo wapi
Hapana nimekutafta sana ndio kuna mtu akanipm jina lako jipya ila hili la sasa halina swagga rudisha lile.😂😂😂😂😂 weeeeh...alafu acha Mambo yako Kuna siku si uliniita kwa yna2 nikiwa na I'd hii wewe..!!..haha
Upo pekee ako nijeJirani na kuzimu