Kanituma nikuulize,eti vocha ya aina gani??Ww mzee unanigandisha nasubir vocha
[emoji2815][emoji1435]Poa mrembo
Nimetupia selfie [emoji28]
πππ Hii ya mwisho sitorudia tena, nakumbuka nilisha kaa miaka miwili, Siku nilipo jichanganya hadi nikabaki najiuliza ni mie huyu au naota.. But sasa hivi nime dhamiria 100%.. Sasa hivi nimekuwa kabisa usher wa kanisa flani asubuhi tu unanikuta nasafisha vyoo, ili Mungu anitie nguvu ya kushikilia hapo hapoNi swala la mda tu, kurudi kwako kutakuwa kwa kishindoπ€£π€£, usije kuparamia dada zetu tu haha!!
Watu wataka vocha banaaa.. Ebu usiturushe mtaalamuPoa mrembo
Nimetupia selfie π
Selfie yangu huitaki boss mkubwa?[emoji2815][emoji1435]
Tuselfike kwanza mkuuWatu wataka vocha banaaa.. Ebu usiturushe mtaalamu
Hongera, kama vipi vita jiko ule kwa uhuru na haki kikatiba.[emoji3][emoji3][emoji3] Hii ya mwisho sitorudia tena, nakumbuka nilisha kaa miaka miwili, Siku nilipo jichanganya hadi nikabaki najiuliza ni mie huyu au naota.. But sasa hivi nime dhamiria 100%.. Sasa hivi nimekuwa kabisa usher wa kanisa flani asubuhi tu unanikuta nasafisha vyoo, ili Mungu anitie nguvu ya kushikilia hapo hapo
Miwani imepasuka hivyo sioni mie[emoji23]Selfie yangu huitaki boss mkubwa?
Muone kichwaπ π πMjep naomba vocha ninywe dawa zangu[emoji23]View attachment 2361661
π€ π€ π€ Dah! Jiko tena, msala huoHongera, kama vipi vita jiko ule kwa uhuru na haki kikatiba.
Halotel natumia shemejiKanituma nikuulize,eti vocha ya aina gani??
ππMdogo wangu Unaendeleaje Lenie ππ
ππππ
Mzab wala hana swaga[emoji1435]Muone kichwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Nitamuita mazab zab hapa
ππππ
Kaka mkubwa mzabzab tunasimangwa hapa kakaMzab wala hana swaga[emoji1435]
Yeye sasa ananiogopa mie[emoji123]
Huyu Mjep ana nyota ya kimahaba nikiwa mkubwa nataka niwe kama ww boss Mjep