AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,273
Bro, tutafute hela.🤠🤠🤠 Mwanangu unakula maisha kinoma.. Zanzibari kuna mambo mazuri eeh?
Hela za miaka hii zina miguu 😂😂😂Bro, tutafute hela.
Kama Ukimwi, kila mtu hana dadeq..Hela za miaka hii zina miguu 😂😂😂
Chaka za kutumia nishazipata. Sasa narudi kuanza kutafuta.
🤠🤠🤠🤠 Uje na mtoto wa kipembaa hata mmojaKama Ukimwi, kila mtu hana dadeq..
Nenda paje beach kule huone totoz za kizunguDada Depal weekend wapi?
View attachment 2359747
National Anthem beer inanyweka Nungwi hafu kesho Taifa kuona Makolo wakidundwa.
HannahWewe si ulinitesa na ile naked yako mpaka leo hujaweka?
Sawa nairudisha naked yangu na kuifuta ndani ya dkk 1
Nimekuja upande wa Nungwi. Aisee. Sahivi nikionga mtu Dar niite umbwa.
Pamoto hapo sijafikaNimekuja upande wa Nungwi. Aisee. Sahivi nikionga mtu Dar niite umbwa.
Muombe arudie mkuu
Unahongaje mbwaaa sasa 🤠🤠🤠🤠.. Nishajiapiza siku mwanamke akaja shika hata mia yangu, huenda natakiwa kupimwa akiliNimekuja upande wa Nungwi. Aisee. Sahivi nikionga mtu Dar niite umbwa.