Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi nikajua nduguyo maana kuna vitu mmefanana.
Selfika basi nawe nikuone nafsi yangu isikie burudani
Ngoja nikirudi nyumbani ntatupia kitu hapa maana cjawah ona mrembo kama wewe hpa selfika 😘 umenidatisha.
 
Somewhere Masaki
Ukirud tu unicheki nikupe direction[emoji28]
Tena ufanye unipeee kabisaaa, nikirudi huko ntatembeza ngwadu zangu hadi locs zijute kufahamika na mie.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😍😍😍😍 Nmekuja Ila thathaa kapicha kapya Sina babe love, sweetie, nyonga mkalia ini
 
Mtoto wa mama mkwe, kanikatazaaa umbeaaaaa.
Naogopa kumkwazaaaaa, ndo nnae huyu huyu m1 tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We usitutanie wewe mtoto
Tumekaa tangu jana tunasubiri,Au unataka na sisi tuingie mkenge wa hizi IDs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…