Kwa exi ulivaba 🤣🤣🤣🤣😂😂Depal
🎼 🎧
We umekuwa sindano mi pulizo
Mi mfanyakazi bora we likizo
Eti mimi ni mfano wa shati we kishikizo
Ushagundua nakupenda mama isiwe tatizo
Nimeshakupa we ndo moja namba
Uwanja wako usihofu tambaa
Nipe vyanda vya kutosha
Nimeshakupa we ndo moja namba
Uwanja wako usihofu tambaa
Nimeganda vya kutosha
Mi nakupenda ndo maana ng’ang’ania
True love na sio bandia
Upole kama wa ngamia
Kila nanusuru roho yangu
Ukiniambia nipike ntakupikia
Cause najua mahaba
Nakumbukaga kamchezo kale
Ka kula nibakishie Baba
Tena unanimalizaga ule mchezo wa kibabababa
Raha ninazo zipata kumbe , Kwa ex wangu nilivaba
Sawa jirani, mashamba yapo kibao..Jirani nitafutie na mimi shamba huko nije nilime
😂😂Kwa exi ulivaba 🤣🤣🤣🤣😂😂
Yan hizo nyimbo zako mie hata sijawahi kuzisikia
Itabidi nije huko weekend kuyaangalia jiraniSawa jirani, mashamba yapo kibao..
Sawasawa jirani..Itabidi nije huko weekend kuyaangalia jirani
Wanajali eeh?Wanajali bana
Me mshua nilivyomwambiaga kuhusu Arusha akaanza na kusema Arusha mbali hamna kwenda.
Bado hata hujaanza kupauka , kaa hapa tafuta kazi Dar.
Nililiaaa 😭😭😭 hadi nikaruhusiwa ile ya kiroho safi
Nishafikisha Grand malt 3 Hadi sasa.Achana na Saint Anne leo katupia wanzuki🤣🤣🤣🤣 mimi nina mtambi na siyo ka kitambi
Mjep anatupiaSaint Anne nionepo macho yako mazuree pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Nataka kutoka online sasa natokaje na Kakako mr Vocha hamjanibless??
Huku gaharama za maisha zipo juu.Sijawahi aiseee 🤣🤣🤣
Labda wakati nafanya intern
Kuna Halmashauri nililazimishwa nikajitolee nilipo maliza tu.
Nilikuwa napewa nauli na hela ya kula mchana.. nazibahiliaa
Nilipopata first chance tu Arusha ndio mazimaaa
Kitu gani hasaa kinakushinda kuvumiliaWanajali eeh?
Njoo tubadilishane Kwa muda uone kama utaweza kuvumilia😂
admirable, adorable, angelic, appealing, bewitching captivating, cute, dazzling, elegant, enthralling, enticing, exquisite,fetching, fine,Acha tu
Hivi ile good better best
Kwenye beautiful sijui inakuwa beautifuest Aiseee
Mtoto wa watu amepiga penyewe katikati kwenye kiini Cha moto[emoji7]
Kwa kweliKuna kale ka experience unapata
Hata kuonana na watu tu ni muhimu sana usikate tamaa mdogo wangu unaweza kuonana na boss wako wa kesho kupitia kazi hiyo
Mna gharama gani Dar kuizidi Arusha?? Wew tulia msichanaHuku gaharama za maisha zipo juu.
Yawezekana Hela ni nzuri ila gharama zinakuwa kuu kuzidi hela.
Woooiadmirable, adorable, angelic, appealing, bewitching captivating, cute, dazzling, elegant, enthralling, enticing, exquisite,fetching, fine,
Wewe wasema🤣🤣🤣🤣Mna gharama gani Dar kuizidi Arusha?? Wew tulia msichana
Arusha kitu cha bei nafuu nachokiona ni mboga za majani 🙌
Njoo umchukue 🤠🤠
Kama umeanza kuonana na wenye hela basi amini muda si mrefu unaanza kupata mielaKwa kweli
Naonana na watu wengi tu wenye hela ila ndio Mimi sina hela💔😂😂😂😂😂
Mkigomba sie hatumo 🤠🤠Ngoja baadae ntamshtua mtoto wa mama mkwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤠🤠 Ninekoma najipendekezaaa weeee, nimechoka.. Nilikuwa zangu na VPN hapa naangaika na dunia ya kwanzaHukomi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]