Umenikumbusha niliachaga kazi mahala sababu nilichoka hivyo hivyo af hela siioni
Sema nilikua na sehemu nyingine naitegemea kuniingizia dolari ndio ilinipa jeuri.
Badae nilivyopata nguvu tena nikatafuta pengine 😂😂
Nimetulia hapa tunakula neno mdogo mdogo.. Anabadilisha mapozi tu.. Maisha ndio haya haya.. Viumbe wanatupa furaha safi isiyo na stressView attachment 2358546
Umenikumbusha niliachaga kazi mahala sababu nilichoka hivyo hivyo af hela siioni
Sema nilikua na sehemu nyingine naitegemea kuniingizia dolari ndio ilinipa jeuri.
Badae nilivyopata nguvu tena nikatafuta pengine 😂😂
Ukipiga hesabu unaona bora hata ukauze barafu.
Mimi hakuna sehemu yoyote iliyonitia jeuri ila nikiondoka...
Ikafika siku yaani I was tired to the extent I can't work anymore.

Halafu sijui kwanini watu wengi tunaovaa miwani tuna macho mazuri.
Mjep huyo..Jicho la kumtoa nyoka pangoni😂
Bado rangi,Mweupee peee kama Coca.
Mweupe kama roho Yake.