Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimewaza sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Toroka ukatafute profoma
Adi kuna saa nawatamania waliojiajiri

Unaweka kifurushi hata hukienjoy, ukirud umechoka unaishia kuangalia TV 1 hr usingizi huooo πŸ˜‚
 
Hongera

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
M muhaya au mpare
Mjep au Mshana



Yule kiumbe alikuja kwangu kwa nia ya kunifanya niwe mie, ana 30% ktk ujenzi wa maisha yangu.


Michael popote ulipooooo, cocastic anakutakia baraka na fanaka ufanikiwe milele.

Nakumbuka kauli yako hii. "Acha kufake uhalisia wako ili kiwaridhisha watu wa nje, huo ni uhaini wa nafsi yako, kuwa wee na ujivunie kuwa wee"

Ishi sanaaa M huna bayaaaa.
 
Naiwekea lamination hii song,


 
Mjep handsome
Halafu six pack yaani..ndio raha ya wazungu wa roho akina Mjep.
Vitambi vimepita mbali nao.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mdogo wangu kinywaji ulichokunywa leo ni hatarii
Mwambie mhudumu akuongeze nyingine 🀣🀣🀣
Kwa sifa hizo mdogo wangu hata Carrasco putin akae mbalii
Umetisha sanaa🀣🀣🀣
 
Weeeh😍
Sema ninywe Grand malt ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…