nimecheka mnooooo. Huyu ni mwinginee,
Yuleee huwa tunacharuaaaanaaaaaa PM, afu sasaa kumbeee mwanzoni had no angu alikua nayo ya zaman kabla ya hii ya sasa, nakumbuka alitakaa sana tukutaneee, nkamtoleaaa nje. Na huyu nae ana ID 2. JF lol.
Eti kasemaga ningejichanganya kukutana nae, angenionesha upande wa pili wa Dunia.
Nacheeeeekaaa lol.