Dogo asili ya mwanamme ni utawala hakuna boma Lina mafahari wawili wakaacha kupigana ,angalia tu mfano mifugo jogii wakubwa wakiwa wawili watapigana mpk kutoana damu,ng'ombe pia n.kJamani nina swaliii
Mkishiba chai mje tujadili..
Qn: wanaume unakuta ana wanawake wa3, anawamiliki wote … katika kuwamiliki hao anakuwa anachagua yupi atatangazwa msikitiki ama Kanisani.
Ila mwanamke akifanya jambo kama hilo alilofanya Mwanaume ye jamii inamuona sio mtulivu ati ni ka malaya [emoji23][emoji23]
Kwahiyo mwanamke ye hana chaguzi zake?
Kwahiyo mwanamke hatakiwi kuwa na wanaume wake wawili awachunguuuze ndio ampate Mr. right wake?
Mjee Mseme both Me & Ke
Si ndio 😃Unaamua kujilipua [emoji1][emoji1]
KweliDogo asili ya mwanamme ni utawala hakuna boma Lina mafahari wawili wakaacha kupigana ,angalia tu mfano mifugo jogii wakubwa wakiwa wawili watapigana mpk kutoana damu,ng'ombe pia n.k
Hvyo mwanamke ameumbiwa mme mmoja kiasili kabisaa,Ila mwanaume ameumbiwa wanawake wengi,hakuna taifa lenye watawala wawili ni mmoja tu ndo anatambulika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
So tunapaswa tuifate necha? Got you dadaDogo asili ya mwanamme ni utawala hakuna boma Lina mafahari wawili wakaacha kupigana ,angalia tu mfano mifugo jogii wakubwa wakiwa wawili watapigana mpk kutoana damu,ng'ombe pia n.k
Hvyo mwanamke ameumbiwa mme mmoja kiasili kabisaa,Ila mwanaume ameumbiwa wanawake wengi,hakuna taifa lenye watawala wawili ni mmoja tu ndo anatambulika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tena hizo chaguzi zinakuja Sasa tu baada ya maendeleo ya sayansi na teknolojia,mwanzo sisi watu wa pwani ukiwa mwari unawekwa ndani hutoki mpk apatikane mume wa kukuoa ambae wazazi watamridhia ,haijalishi unamtaka au humtaki!ndani utakaa hata miaka 10(Kuna jirani yetu alikaa 17yrs ndani)mpk apatikane mume wa kuoa.Jamani nina swaliii
Mkishiba chai mje tujadili..
Qn: wanaume unakuta ana wanawake wa3, anawamiliki wote … katika kuwamiliki hao anakuwa anachagua yupi atatangazwa msikitiki ama Kanisani.
Ila mwanamke akifanya jambo kama hilo alilofanya Mwanaume ye jamii inamuona sio mtulivu ati ni ka malaya [emoji23][emoji23]
Kwahiyo mwanamke ye hana chaguzi zake?
Kwahiyo mwanamke hatakiwi kuwa na wanaume wake wawili awachunguuuze ndio ampate Mr. right wake?
Mjee Mseme both Me & Ke
Unapima, ukiona utashindwana nae bora kusepa mapema ila usikubali kukaa na mtu just because unaogopa jamii itakuona mhuni.So tunapaswa tuifate necha? Got you dada
So unatushaurije wale ambao we meet guys ambao tunaona kabisa they don’t meet our vigezo?
Tusiwaache? Alisema Alexprosper kwamba mwanamke anatakiwa akae hapo asubirie mume aje…
Sasa ndio ukazaliwa na nyota ya paka, wanaokufata we huwataki? Tunachomokaje hapo?
Ni sahihi mwanaume ni kichwa cha familia.Dogo asili ya mwanamme ni utawala hakuna boma Lina mafahari wawili wakaacha kupigana ,angalia tu mfano mifugo jogii wakubwa wakiwa wawili watapigana mpk kutoana damu,ng'ombe pia n.k
Hvyo mwanamke ameumbiwa mme mmoja kiasili kabisaa,Ila mwanaume ameumbiwa wanawake wengi,hakuna taifa lenye watawala wawili ni mmoja tu ndo anatambulika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sweetheart ake MjepMbona Depal hafeki maisha
Tunazingua kushikilia necha za mchongo hakiiiNi sahihi mwanaume ni kichwa cha familia.
Ila hapo kwa mwanaume ameumbiwa wanawake wengi naona kama tunawaendekeza na kukubali kukandamizwa sababu kuna mifano mizuri ya wanaume ambao ni wameweza kutulia na mwanamke mmoja na wamekua waaminifu.
Nothing behind.. kuna uzi nimesoma ndio umenipa hilo swali…Hako kaswali kana kitu behind [emoji1]
Si kweli 🤣🤣🤣Mwanamke hachagui... Anaenda na yoyote aliye tayari
Kuna uzi huko ndio umenipa hilo swali…Didi ake imekuaje hadi ukauliza hivyo?
Anyway ukiacha jamii, wanaume ni wabinafsi by nature.
Mfano mzuri hata humu jukwaani ukipitia nyuzi nying utaona wengi wanasupport mwanamke akicheat basi atimuliwe aachwe ila kwa mwanaume akifanya the same wenyewe wanajitetea kwamba ni nature yao so tuwavumilie. Very selfish creatures
Mbona Bontel hujatuweka 🤠🤠
Kweli simu sio kipimo cha level ya maisha kabisaSweetheart ake Mjep
Mimi natumia kifaa cha mawasiliano, nipige simu ziende, boss akituma email niione kwa wakati .. and picha kujisnap hapa na pale..
Hawa wqnaodhani mtu akiwa na simu yenye apple lililong’atwa kwa nyuma ni maisha bora ama anafake ni upuuzi tu umewajaa vichwani.
Kila simu zina matoleo kibaoo
Kuna tekno za laki 2 na kuna tekno za laki 7
Samsung Za laki 3 mpk milioni
Iphone za laki 3 mpk hizo za bei ya viwanja.
Ni mjinga pekee ndio atakaa aanze kujaji kwa kupimisha aina ya simu na mfuko wa mtu na maisha yake.
Ed wetu shoga angu ana Iphone Ambayo haina zile pro wala pro max.. utapata picha ni anayo ipi.
Perdiem zake tu na allowances unaweza kuta ni mshahara wa mtu kwa miezi mi3 afu huyo mtu ako na iPhone 13
Hehehe duniaa hii jamani
Swali linafikirisha na ni mambo yanayotokea kwa jamiiKuna uzi huko ndio umenipa hilo swali…
Wanaume wana tabia mbaya sana
Tunaotumia Huawei vipi
Sikubaliani
Nature ya mwanaume ndo iko hivyo anauwanja mpana wa kuchagua kutoka kwa wanawake alio nao na kijamii ndo inatambua hivyo akikuta mmopawapo yuko hivyo ana mabwa na yeye wengi ana kudrop chapu[emoji1]Nothing behind.. kuna uzi nimesoma ndio umenipa hilo swali…
Mtu kaandika eti wanaume tusioe.. wanamkubalia hapo weee
Na wakati mimi kwa huu mwaka tu nishachangia harusi 4 na Nov nina nyingine.. sasa hao wanaooa ni kina nani? Hawaijui jf ambayo inawaambia wasioe?