Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepiga picha kinywaji cha nani?
Mmmhhh
NdiwoooJiwe anauliza
Mashuka ya kimasai bado yanapatikana kwa wingi mtaani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]we huko siji hata kwa upepo wa kisulisuli
Sasa nimeamua kuja suluhisha migogoro.Jamani
Hahahaha hamna bia hapa mkuu...nakunywa majii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji847][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeshiba omenaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umeamua kumfurugha mwenzio eti
Nakuogopa mimi jamani
Sasa tutembeee kifua mbeleNdiwooo
Ha ha ha ha aha ha ha aha ha[emoji23][emoji23][emoji23].Mke majanga wewe[emoji134][emoji134]
HatariousAmenogaaa
Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.Daah basi kweli miili inatofautiana yaani mimi hata sijui nifanye nini ndiyo nitakonda..kwani wewe unatamani kunenepa??
Kabisaaa ni juhudi na kaziSasa tutembeee kifua mbele
Mbinu za mabeberu kutuambia pesa haipo; zimefeli.
Nimekosea wapi we mdada?We baba we!!!!