Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lizzy usimalize nakuja na mwenzangu 🤠🤠View attachment 2357852

raraa reree 🤠
Hamfiki tu.....?
20220915_181334.jpg
 
Ninalo la mabati
Sasa mchana ile nimepack chini ya mti Sijui nani akaamisha akanisogezea juani…

Wakati natoka kilikuwa cha moto hata siwezi kukipanda.

Ndio nikaenda hapo Nalopa sheli kukimwagia petrol
Huyo mtu nae sio mstaarabu, utasogwzaje vitu vya watu kiholela
 
Back
Top Bottom