Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Wewe na nani? 😳😳Tumefika
Wewe na nani? 😳😳Tumefika
Ndio mitaa gani hiyo jiraniSubiri basi nifike nyumbani 😂😂 ndio kwanza niko hapa Nalopa
Natembea kidogo kidogo
na mimiWewe na nani?![]()
Sina nyamaMbona wengine hawakomai wewe una nini mpaka ukomae
Huku Njro jiraniNdio mitaa gani hiyo jirani
Utazipata tu usijariSina nyama
Mambo D?
Kama kawaida yetu. Kikosi cha ushindi si umekiona?
Sitaki kuona 🤣Kama kawaida yetu. Kikosi cha ushindi si umekiona?
Poa, shikamooMambo D?
Unaogopa kufugwaSitaki kuona![]()
😊😊😊😊 Kitamu, wao watakula kesho
habari rafikiNawasalimu wadau
🤣🤣. We si ulidhani kufukuza kocha ndo suluhisho?Sitaki kuona 🤣
👋👋 samalekoPoa, shikamoo
Selfika bana👋👋 samaleko
🤣🤣. We si ulidhani kufukuza kocha ndo suluhisho?