Wee mie usiku huohuo mie niliwaambia walio wengi humu mbona! Hata wewe nilikutag kabisa itakua hukuona!!!!Nimesikia na nimeweka kisa changu Cha kuchekesha..muwe mnasema mkibadili I'd basi[emoji28][emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Si alizembea mwenyeweKata rufaa kwa max wakirudishie I'd yako uliyoijenga miaka mingi kwa jasho na damu[emoji28]
Hata Lenie Depal na Saint Anne hawapaswi kubadili majina maana I'd zao ni maarufu sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mhubiri 7:9mimi silili sema nina vihasira
oh lazima ujiulize hapo
tuache tujiendekeze hatuwezi kufanana .Siyo tofauti ni kujiendekeza tu umesalitiwa mara ya kwanza oky inauma bado unasalitwa mara ya 6 bado unalia lia tu huko ni kujiendekeza tu
Weeehhh Im happy with Tonniah kwanza Misri nishatokaaa I'm a born again person sikati hekaheka na Mahondaw wao!! hahahKata rufaa kwa max wakirudishie I'd yako uliyoijenga miaka mingi kwa jasho na damu[emoji28]
Hata Lenie Depal na Saint Anne hawapaswi kubadili majina maana I'd zao ni maarufu sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Aseee uliniweza sn[emoji28][emoji28]Nimesoma aya kwa 1 na 2 kwanza ebu nicheke mie bwahaahaha ! Nilionaa unavotaka kuingiaa nilionaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cocastic ashasemaga hakuna id mpyaa humu wee ingia kichwa kichwa ujichanganyeeeee;!
Mie mbona niliwa alert watu humu kabisaaa kuhusu hilo
Namalizia kusomaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Nilimuona anavotaja kuingia hahahaaa!! Hakuna mpya humuuuu wajichanganyee tyu!!Nimecheka kifala
Hapa unakamilika ule msemo maisha Ni Safari na ajali huwa zinatokea[emoji28][emoji28]"Mwenye mji wake humuu"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!
Nacheka kama Chizi ujueee!!! Hukujua kama ni kikongwe aliekubuhu kabisa jf anijua vilivooooooo watu wote anawajua kuliko wamjuavyoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] !!!
Naendelea kusoma [emoji2960][emoji2960]
Khakhakhaaaa!! Nilitoa taarifa mieAseee uliniweza sn[emoji28][emoji28]
Nikasema Leo kabwela Mungu ameniona Kumbe.......
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kabisaaa!!! Haya ubless mchana wangu basi rafiki umejua kunichekesha leo 🤣Hapa unakamilika ule msemo maisha Ni Safari na ajali hiwa zinatokea[emoji28][emoji28]
Ile ilikuwa bonge la ajali
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Eti kikongwe🤣🤣🤣"Mwenye mji wake humuu"🤣🤣🤣🤣😂😂!!
Nacheka kama Chizi ujueee!!! Hukujua kama ni kikongwe aliekubuhu kabisa jf anijua vilivooooooo watu wote anawajua kuliko wamjuavyoooo🤣🤣🤣🤣🤣 !!!
Naendelea kusoma 🤭🤭
Asante kwa funguMhubiri 7:9
Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
HeheeeeeeKata rufaa kwa max wakirudishie I'd yako uliyoijenga miaka mingi kwa jasho na damu[emoji28]
Hata Lenie Depal na Saint Anne hawapaswi kubadili majina maana I'd zao ni maarufu sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Weee Nilibadili makusudikalii kwa intention kabisa wala sijuteeeeee!; Tena nahii im Happy mnoooooo!Si alizembea mwenyewe
Akajikoroga kubadili
Tukamlilia sana akakataa...
Kumbe punde si punde wahuni wakamlia timing.
Afu hatuna habariiiWee usnambie id yangu ni famous humu😂😂
SanaaWee usnambie id yangu ni famous humu[emoji23][emoji23]
YaaaniAfu hatuna habariii
Basi sitabadili avatar mie humuSanaa
Famous kiasi kwamba Ukiwa unatype tu hata avatar yako mtu anajua lenie is typing...
Ila mdogo wako Depal anabadili Sana avatar km National Anthem Ni ngumu kutambua akiwa anatype ila I'd yake ni maarufu km yako
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app