sahihi dearHiyo ndio tuna rudi kwa love is blind but not ujinga my dear..
Unampenda mtu
Anakukorofishaa balaa ila 7bu ya upendo wako kwake, unakuwa unachukulia poa.
Mimi nilishaachika huko zaman
Nikalia week karibia 8 ππ
Nikafuta macho
Naendelea zangu kuumwagilia moyo na mapendo kwa anaendelea kupendana nami
π€£ π€£π€£π€£π€£Kuacha ni ngumu π€£ subirini kwanza nipate akili timamu
Kabisa.Waanapochujwa ile form 3 wanaochukua Wayansi automatic ni majembe!
Ataachwa hapo achambe hewa π€£π€£ akili ndogo watamsapotiβ¦ akili kubwa tutaenda jamii intelligenceHumu ndani siku nitawaletea Kimbembe mchambane naye.
Atawachamba Hadi mshangaeπ€£
Kichaa nishapata tayari ππ bado hizo akili hazitaki kurudiπ€£ π€£π€£π€£π€£
Utazipata lini sasa, au ukishapata kichaa cha mapenzi
Namwambia awafate wote hukohukoAtaachwa hapo achambe hewa π€£π€£ akili ndogo watamsapotiβ¦ akili kubwa tutaenda jamii intelligence
Yani ukipemda unakuwa hujielewei yani hata ukiambiwa mtoroko unatorokawapo ndio
ila hapana mimi nakuwaga mjinga sana , naonyesha kabusa hapo nimedata .
sasa sitaki hivyo tena .
mahusiano mengine nikiachwa niwe zangu tu fresh ,
Futa kwenye kichwa hizo memory mlizo kuwa mna enjoy.. Weka file lingine.. Maisha yasonge.. Usiweke mwanadamu moyoni huku hana guarantee.. Weka Mungu kwa huo moyo alafu Mungu ndio ataweka hiyo kichaa yako unayo sema unaipendaa.. Unakuwa na upendo unaopitia moyo wa Mungu, mwehu akizingua huguswi na pain yoyote, maumivu yanaishai kwa alie connecy moyo direct π€ π€Hamjui tu watu tunamiss niniπ€£
Dahππππwabaya ile mbaya
hawaangaliii upole wala nn
Unazinguaaaaa!! Halafu ukute niwewe na Saint Anne mliitamani sana ile Username ya Mahondaw mkataka tembelea nyota yangu bwahahahahahaa!!!!!π€π€π€Msalimie sn Antonnia
Nilishapoa ππ sahivi nikikumbuka najiona nilikuwa sina akili au nilikuwaje?sahihi dear
week 8 nyingi pole aisee
yah ukimove on unaendelea na mwingine
Hili somo la muhimu sana, natumai shoga angu Depal atapita hapa apate kujifunzaEwaaa.. Unaweza lazimisha ukaletewa na ukimwi ndani π€ π€ π€ ebu tumieni akili vizuri, sio mzitumie kuchagia nguo nzuri tu na sio maamuzi mazuri, emotions alizo wapa Mungu ni kwa ajiri ya kumuimbia na kumsifu huku machozi ya uwepo yakiwatoka, sio. Machozi ya kumlilia abdalaaa acheni huo ujinga π€ π€ π€
Ulikuwa huna akili sio ulikuwa unajiona, ukweli ni kwamba hukuwa na akili π€£π€£π€£π€£Nilishapoa ππ sahivi nikikumbuka najiona nilikuwa sina akili au nilikuwaje?
Kuchambana tena? Why?Humu ndani siku nitawaletea Kimbembe mchambane naye.
Atawachamba Hadi mshangaeπ€£
ππ mara ya mwisho namuona ni mwaka jana kwenye saluni ya mama kimbo..Namwambia awafate wote hukohuko
Uzuri huwa hachoki.
Hata sijakuelewa madam unaongelea nn..Kuna tatizo limetokea kuhusu I'd yako ya zamani?Unazinguaaaaa!! Halafu ukute niwewe uliitamani sana ile Username ya Mahondaw ukataka tembelea nyota yangu bwahahahahahaa!!!!!
Kimtu unakuta kinalia ng'wee ng'wee kama mbwaaa, kisa kimeacha, yani kama nipo karibu nakuzabua kabisaHili somo la muhimu sana, natumai shoga angu Depal atapita hapa apate kujifunza
tumeumbwa tofauti laiti dunia hi iingekuwa na wanaume tupuNashangaa yani mtu analilia mapenzi niache kulilia Mirinda orange na makande nililie mapenzi
Nashangaa yani mtu analilia mapenzi niache kulilia Mirinda orange na makande nililie mapenzi
Hapa jamani, ndio mzizi wa fitina umejificha ππHamjui tu watu tunamiss niniπ€£
Kumbe Hujui naona Saint Anne ananijua vizuri muulize akupe hio story!!Hata sijakuelewa madam unaongelea nn..Kuna tatizo limetokea kuhusu I'd yako ya zamani?