Selfika na JF: Snap it. Show it

Halafu sasahivi karibia kila siku wanawakatia🤣🤣🤣🤣
Tanesco Mbinguni hawaendi.
Jana ofisini hawajakata
Juzi walikata
Leo asubuhi wamekata mtaani
Leo ofisini hawajakata

Taneshko jau
 
😭😭 unapiga ngumi kwenye mshono 🤣
Aaaaah! Achaneni na emotions za kiwaki, maisha siku zote yanaendelea, upendo siku zote upo. Upendo hauwezi kukuacha na huzuni. Muwe majasiri. Anaekupenda hato kuacha na kama amekuacha ujue sio mpango wa Mungu wala wa shetani muwe pamoja 🤠🤠🤠
 
Kabisa, hapo ni kusonga tu mbele kama Injili
Ewaaa.. Unaweza lazimisha ukaletewa na ukimwi ndani 🤠🤠🤠 ebu tumieni akili vizuri, sio mzitumie kuchagia nguo nzuri tu na sio maamuzi mazuri, emotions alizo wapa Mungu ni kwa ajiri ya kumuimbia na kumsifu huku machozi ya uwepo yakiwatoka, sio. Machozi ya kumlilia abdalaaa acheni huo ujinga 🤠🤠🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…