Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Mbona nazidi kukupenda😊♥️♥️❤️♥️❤️!!
Mbona nazidi kukupenda😊♥️♥️❤️♥️❤️!!
Yanga Forever ✌️✌️!!Mbona nazidi kukupenda😊
✌️Yanga Forever ✌️✌️!!
Tukaribishane wa kishuaNamalizia kuchemsha wali .. sahivi nakuja kwenu kushtua engineView attachment 2355805
😊😊😊 Tuseme Amen. Leo umeniombea dua njema kabisaa..
Nimemaliza kula sekunde zilizopita 🤣Tukaribishane wa kishua
Hahaha haya mwanaumeTeenager kwa bibi mkubwa Ila watoto wa Kike mm ni mwanaume
Tafuta mmoja baada ya mwingine
Na mie maji 😒😒 na ile chupa ya kijani
Wengine sio yeye sasa!! Naona Anakudorishia kama wewe unavomdorishiaga
Wee tutie mshawasha tu.. Post M-alone werayuuuuuu??? Anne anaturingiahiaje hizi Picha zake jamani!!Shauri zake😂
Halafu ujue zile picha zipo hapa zinawasubiri.
Kwa hiyo mwanangu juzi nikaomba selfie tuone Dimples ukagomaSawa 🤣
Kwanza selfika
Huo sasa uchoyo 😂😂😂. Yaani kimeiva muda si mrefu na kula ushamaliza?Nimemaliza kula sekunde zilizopita 🤣
Ulizaliwa mwezi gani? Mwezi wa njaa
Sina mpya nilisemaKwa hiyo mwanangu juzi nikaomba selfie tuone Dimples ukagoma
Huo muda si mrefu ndio nilimaliza kulaHuo sasa uchoyo 😂😂😂. Yaani kimeiva muda si mrefu na kula ushamaliza?
Basi sikuona reply yakoSina mpya nilisema
Hahahhhaaaa 🙌🙌🙌Huo muda si mrefu ndio nilimaliza kula
Ametokomea wapi tena huyu jamaa hatulii kama miguu ya kuku😂Wee tutie mshawasha tu.. Post M-alone werayuuuuuu??? Anne anaturingiahiaje hizi Picha zake jamani!!
Basi sikuona reply yako
Na Wala haturingi yaani🥰