Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Dah mchumba😂Niliwahi kumbananisha kwenye call hana ujanja🤣
Ulinipigia kipindi nina wenge sana
Dah mchumba😂Niliwahi kumbananisha kwenye call hana ujanja🤣
Nimemuonyesha sms yako amekupenda gafla tu una nyota ya kikoreamsalimie pia


Hahahaaa...... kuonana na Mtu kwa mara ya kwanza binafsi ni mtihani kwa vile unakua hujamzoea!Mimi bonge la zoba
Tukikaa pamoja nitakonda Kwa uoga
Naogopa watu kichizi.
Hapa kesho Nina appointment na Mama mchungaji...Yaani natokwa na jasho😂
Mtu ambaye sijamzoea ni mtihani sana kuongea naye.
haha teenager au sioMm siyo mwanaume ni mvulana
Namalizia kuchemsha wali .. sahivi nakuja kwenu kushtua engineTayari
Kitambo
Wewe wangu tu😅Dah mchumba😂
Ulinipigia kipindi nina wenge sana
Ndio nishafeli mchumbaUnafeli vp?😅
Eti eeh?Wewe wangu tu😅
aisee asante , abariwe kweli .Nimemuonyesha sms yako amekupenda gafla tu una nyota ya kikorea![]()
Unaonekana tyu hata kukutana wa binti unaogopa ujanja wote huo!!Mm siyo mwanaume ni mvulana
Kumbe hzi tambi ndyo nzuri kuzipika hivi hyo ni flampen ehhTayari
Kitambo
Kabisaa😅Eti eeh?
Ugundue niniRudisha picha

Tutest mitamboUnaonekana tyu!!
Teenager kwa bibi mkubwa Ila watoto wa Kike mm ni mwanaumehaha teenager au sio
Sheeeeendwaaaaaaahh!!! Toa laana zako huko !Tutest mitambo
SijaionaUgundue nini![]()
Wajina amekukolea eeh?Kabisaa😅
Aisee na stress balaaa acha wajina aniliwazaWajina amekukolea eeh?