Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndugu zangu juzi walikuwa wananisema..Hadi nikaondoka.


Wanajadili..mmoja anasema yaani Mimi nimpe hela mtu ambaye siyo ndugu yangu??Siwezi!
Na nikimpa nahakikisha nadai🤣
Mimi Ndugu kuna masuala wakiamua kucharuana wanacharuana haswaa huko kwenye grupu la familia wanasemaaaanaa wanachambaaana wanajadiliiii mie kimyaaa midamida nakomenti kwa ufupi dada Zangu sasa ni wanaongeaa balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…