Sijafikia hukoo na staki mwanangu awe hvyooo[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]Acha tu.
Kuna kipindi ilikuwa inafika nakuwa Sina hata Hela ya kula, boom loote nimekopesha[emoji23]
Nyumbani wakaniambia wewe ni mpumbavu.
Nikiwa nikichukua hela zote namtumia mama.
Ananipa ya kutumia kila wiki.
Unajibana kula wali wa buku,unamhurumia mtu unamkopea elfu 10..badala ajibane ale chakula Cha buku siku 5 ,yeye anarudi na Chips yai mishkaki soda...Uliyempa hela unakula wali maharage.
Halafu kesho anakuja tena kuomba hela imeisha.
Mimi bonge la domo zegeAcha baasi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbona unaonekana mjanjaa!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tangu lini?Ni mchaga pia. Miss you bina🥰🥰
Kumbe😅😅😅Mimi bonge la domo zege
Kutype kunanibeba😂😂😂💔
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wahindi wao dadekiii pesa inapakwa kwanza kinyesii ndio mnakopeshwa ukichukua tu kimaviii[emoji16][emoji51][emoji51][emoji51]
Tofautisha ujanja na hurumaKumbe😅😅😅
Huna hamu tena Mpendwa 😂😂Wahindi wao dadekiii pesa inapakwa kwanza kinyesii ndio mnakopeshwa ukichukua tu kimaviii😁😬😬😬
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulimaanisha huruma?Tofautisha ujanja na huruma
Ndiyo😂Ulimaanisha huruma?
Nipo binaaa. Fanya nikuone basi ulivyobongeka
Jana na Leo[emoji1787][emoji1787]Tangu lini?
Bora wewe sasa mie kutype domo zegee kiuhalisia domo zegee yani nipo mpolee hadi mjinga!Mimi bonge la domo zege
Kutype kunanibeba😂😂😂💔
Ndugu zangu juzi walikuwa wananisema..Hadi nikaondoka.Jana na Leo[emoji1787][emoji1787]
Ila wewe umezidi😂😂😂Bora wewe sasa mie kutype domo zegee kiuhalisia domo zegee yani nipo mpolee hadi mjinga!
Ndugu wotenaowakopesha hawajawahi kunilipa!! Asilimia kubwa ukimpa Ndugu hela sahauuu!Ndugu zangu juzi walikuwa wananisema..Hadi nikaondoka.
Wanajadili..mmoja anasema yaani Mimi nimpe hela mtu ambaye siyo ndugu yangu??Siwezi!
Na nikimpa nahakikisha nadai🤣
Nilivyo maliza ka mkopo kao ka mchongo walitaka kunikopesha tena sikutaka hata kuwasikiliza😬Huna hamu tena Mpendwa 😂😂
Basi nitakulilia hadi unihurumie😊Ndiyo😂
Nina huruma ya karibu
Yaniii nina nature hio! Sasa afadhali humu najitahidi kidogo ukiniona live Anne huwezi amini hivi unamjua konokono kilaza wa kwanza kabisa kuongea!!?? Ndio mie sasa!Ila wewe umezidi😂😂😂
Hadi kupambana kwenye maandishi huwa huwezi.
Mimi kwenye kuandika tutakesha🤣
Unikute sasa live aiseee naongea kinyonge.