Bora unao wewe , mie sinaga hataMimi siwezagi kuomba🤣🤣🤣🤣
Akhsante Mungu amenipa watu wanaojua kujiongeza..
Yaani wanaona tu hapa huyu mtoto atakuwa amefulia..wanatoa assist.
Si watakuonea, bora uwe na baunsa wako mcheze nae ndio watu wasikupige matukioTurudi kwenye vicoba vya kina Lenie.
Kwa jinsi nilivyo mjinga, mtu anaweza akawa anachukua hela kwenye jina langu na nishindwe Cha kumfanya.
Kaahh!hyo Kali ya kwako mi sijafikia level hizo bestiiiSiwezi kudai.
Kuna mmoja alikuja kukopa ya kupeleka vicoba huko.
Akasema akishapeleka ni zamu yake kuchukua.
Nikampa..
Hakunilipa.
Baadaye muda umepita akawa ameumia mguu alidondoka akajigonga goti...Alikuja nyumbani kuomba spirit.
Nikagawia..Nikamuelekeza dawa ya kukausha kidonda haraka anunue.
Akasema hana hela,Nikampa hela ya dawa na nikamwambia ile hela niliyokukopea nimekusamehe.
Kesho yake akaja...anasema ana shida ya hela anunue mahitaji anafanya biashara ya chips.Akiizungusha atanirudishia.
Akataka kiasi,Nikampa ila nilimpa pungufu ya ile aliyotaka...ilipungua kama elfu 10 hivi.
Nimamwambia ungeniambia mapema ningejitahidi kubana matumizi..Jana ndio nilitoa hela ya matumizi yangu na hiyo ndiyo iliyobaki.
Akaondoka.
Jioni akanitafuta,anauliza kama sijaenda tena benki ili nimtolee elfu 10 iliyobaki eti hajanunua tomato na chill sauce!
Nikamwambia sijaenda.
Kesho yake tena akanitafuta..tena akaja nyumbani kabisa...nikamkaribisha nashangaa amekaa kimya,Nikamwambia nakusikiliza..Anasema umesahau??Ni kuhusu ile hela iliyobaki.
Binadamu waswahili ni wajinga sana.
Kweli mtu unapata vocha ya 2000 pekee ako kwenye mahusiano utatulia kweli ww na utaachwa sana tu
Huwezi amini sina mashogaBora unao wewe , mie sinaga hata
Nakuwaga bubu hapo , hata kwa vitu vingi napenda kufanya peke yangu .
😂😂😂😂😂😂😂😂💔Si watakuonea, bora uwe na baunsa wako mcheze nae ndio watu wasikupige matukio
Acha tu bina.Kaahh!hyo Kali ya kwako mi sijafikia level hizo bestiii!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mie mbona hujanilipa 😣😣😣Kwa kweli. Haiwezekani mtu hakulipi afu bado unaendelea kumkopesha tena. Hapo sasa mwenye tatizo ni wewe na sio yeye tena
Umeandika kwa hisia km mchagaFedha ni kipimo cha utu (IMO). Ukimess up na Tsh 10 yangu; nakufuta na kwenye maisha yangu. Mtu asiye na utu; hafai duniani wala akhera. Wewe kwa sababu ya utu; unajivisha viatu vyake na kuibeba shida yake kama ya kwako unamsaidia; lakini yeye hakumbuki kama ulimsaidia so afanye arejeshe. Worse enough ni wale unamkopa, anakuzungusha kulipa ilhali hela anayo; baada ya muda akipata shida anakuja kukukopa tena na ahadi za kulipa deni la kwanza juu. Kuna watu hawana aibu, hawana utu na hawana shukrani pia.
HabariLeo kuna uefa acha nitafute ela ya bia kwanza ayo maswali mawili matatu baadae mkuu
Mie hata wa shule sinaHuwezi amini sina mashoga
Zaidi ya watu tuliosoma pamoja tu na yunaishi mikoa tofauti.
Hapa nyumbani yaani nikitoka kwenye mizunguko basi narudi nyumbani .
Majirani wengi tu rika langu ila ndio sizoeleki.
Jirani umeamua kuniumbua? Haya ni mambo ya kifamilia jirani (tutadiscuss nyumbani)🤣🤣🤣🤣Mie mbona hujanilipa 😣😣😣
Ni mchaga pia. Miss you bina🥰🥰
Miss you tooNi mchaga pia. Miss you bina
Wa shule ninao watatu.Mie hata wa shule sina
Naowanaga tu huko kwa status
Mtaani nakazaa huyo , ni salami tu huyo .
Acha baasiTurudi kwenye vicoba vya kina Lenie.
Kwa jinsi nilivyo mjinga, mtu anaweza akawa anachukua hela kwenye jina langu na nishindwe Cha kumfanya.
Hahhaa usimpangie matumizi ya hela yake; hata kama ni mkopo
Hapana mkuu lete asali ya manyoni 🤠🤠