Ndio unanikomoa sio, kisa nimekuacha 🤣🤣
Nimemiss enzi zie hatujaachana nilikua napewa vocha hata sijaomba leo hii mie wa kugombania goli daah kweli ya leo sio ya jana
Au turudiane basi kwa saivi af ukishanitumia vocha kila mtu anakula 50 zake😂