How deep is your love? (you should know)
Mtu anae sema mtu A mmbaya, ni maskini wa pesa na akili.. Hakuna mwanamke mmbaya duniani wala motoniPesa mapene mavumba mpunga mawe aaah haijawahi kufeliππ
Napatikana kule zaidi banaUnaingia online kwa ku beep sana[emoji3525]
Ngoma niπ₯π₯π₯π₯π₯How deep is your love? (you should know) How deep does it go?
How deep is your love? (I'ma show ya)
Let's explore (late night)
How deep is your love? (girl)
How deep does it go? 'Cause mine run down to the ocean floor (ayy ayy, ayy ayy) Oh whoa-oh
hahha UncleCarrasco putin vya shambani huwa vitamu sogeapo huko ujilea mema ya shambani
Hajapata tu matunzo huyoMtu anae sema mtu A mmbaya, ni maskini wa pesa na akili.. Hakuna mwanamke mmbaya duniani wala motoni
Basi nitakua nakucheck kuleπNapatikana kule zaidi bana
Ndio pazuri hamuwashi AC wapa fani. Mziki ni sauti ya upepo.hahha Uncle
huku tunapunga hewa safi , pametulia .
Sawa mchumbaBasi nitakua nakucheck kule[emoji106]
Mazoezi ya nini tena jamani?Nimekubaaali kumbe umzigula mbwawe......π
Hongera kwa uzazi madam kweli umekupendezesha alaf ndo unataka ufanye mazoezi? Hata mdogo wangu Saint Anne hawezi kukushauri
Dr anakupenda sana⦠mwambie anajua kuchagua..Dr[emoji4]
Aise msalimie kaka mzurii[emoji9]
Mwakani Insha'AllahMzuri kipenzi mwaka usiiche ππ
U boss nautoa wapi mimi kabwela tuuBoss fanya vocha basi hali mbaya [emoji856][emoji856]
Si unajua ndege wanaofanana huruka pamoja?Mimi sio wakishua πππ
Wakishua ni didi akee Lenie
Sean Paul ni hatari fireeeπNgoma niπ₯π₯π₯π₯π₯
Kweli dunia ina mamboMimi hapa nivozaaa nimeporomokaaa nimechakaa nimechujaaa balaaaa.. ubintini nilikua na huo mtrako Hakyanani trakoo kuleeee hipss sasa ndio usiseme.... nivobeba mimba tu mamaeee mzee ana nafuuuu nilikua kama kibibi cha miaka 102 uzazi ππππππ!!
Ujumbe umemfikiaMazoezi ya nini tena jamani?
Abaki hivyohivyo
Rudisha picha uliyofutaUjumbe umemfikia