Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Kabisa!Mdogo wangu fanya chap
Baba mchungaji asichelewe mwambie wakati ni sasa
[emoji3059][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ahsante dear Niko ktk utafutaji mama angu! ahsanteee sanaMadam reymage meona ng'ombe zizini nakuja kunywa maziwaaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Umependeza hio kofia inakutoa [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]!!
[emoji1][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493]Boss kubwa nikuone DM kama itakupendeza.
Ngoja tuanze zoezi la kumtafuta Junia.Sanaaaaa. Hebu Fanya uzae kwanza
Kweli tenaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongoo.
Selfika na #tigo#[emoji3059][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ahsante dear Niko ktk utafutaji mama angu! ahsanteee sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Beba mimba kwanza ufumuke nikucheke hadi npasuke na tumbo lako Anne!!π€£π€£Mimi natamani ninoge kama Mpendwa π
Kuna rafiki yangu mmoja amenitumia picha jana alivyokuwa mjamzito,,Yaani alivimba uso kama fenesi.
Sasahivi amejirudi kama zamani.
All the bests mamaaa!! βοΈβοΈNgoja tuanze zoezi la kumtafuta Junia.
Nitaleta feedback
[emoji23]weee ile skupiiiNaomba ile saa umeweka dp [emoji28]
Mzuri kipenzi mwaka usiiche ππWoiiππ₯π₯π₯π₯π₯
Mpendwa
Kumbe uzazi mzuri Jamani
Depal hunaga akili kidogo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Siku hizi bahasha zinabebwa? Si mwendo wa mail tuβ¦
2018 kuna ofisi nilijibiwa jibu ambalo sikurudiaga kubeba bahasha nikaenda ofisini kwa watu [emoji1787][emoji23]
Ofisini yenyewe hata jina nishaisahau, iko posta mojawapo ya yale majengo pacha.
Khaa yule dada [emoji38][emoji38][emoji38]
Wakati mwingine nilimiss tu kuwa interviewed, nikaandika email ofisi flani wako Masaki, hawa walikuwa wametoa tangazo.. sema kuna ka factor kalikuwa kamenipush, 2020 hiyoo nilikuwa natamani kuhamq Arusha
Niliandika barua hiyoo? Nilikopa kingereza mtaa wa 7 nikajimaliza balaaaβ¦. Nikaitwa interview, hiyo siku kwanza nilikuta more than 4 missed calls na sms juu βsisi ni flani flani pls tutafute..
Basi chap nikawapigia, yule mama baada ya salamu akaanza kuniambia yan we jobless na hukai karibu na simu una raha gani? Nilihisi kuwa offended [emoji23][emoji23]
Basi tukaongea nikamwambia siko Dar na itakuwa ngumu kufika.. basi akanipangia Zoom β¦. Kwa mara ya kwanza nakutana na panel ya watu wanne β¦ niliogopaaa, ila nikakaza
Hapo najua niko mahali na siwezi kurupuka nikatokapo, basi kipengele cha mshahara tarajiwa nikataja figure ambayo najua walidhani kabisa hili toto halina shida na kazi [emoji22]
Nikawa nishawasahau.. hiyo siku nakuta emailβ we regret to inform you thatβ¦..
[emoji1][emoji1][emoji1]danga ,diwani,mtendaji au mwlkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hama kijijini naweee, sasa huko danga n Diwani au mtendaji wa kata, lol
Mimi hapa nivozaaa nimeporomokaaa nimechakaa nimechujaaa balaaaa.. ubintini nilikua na huo mtrako Hakyanani trakoo kuleeee hipss sasa ndio usiseme.... nivobeba mimba tu mamaeee mzee ana nafuuuu nilikua kama kibibi cha miaka 102 uzazi ππππππ!!Mimi natamani ninoge kama Mpendwa π
Kuna rafiki yangu mmoja amenitumia picha jana alivyokuwa mjamzito,,Yaani alivimba uso kama fenesi.
Sasahivi amejirudi kama zamani.
Acha kunijaza toka lini Mzigua akawa na mzigo kama mnyakyusaππMama Junia mwenyewe huyooππ
Kweli mambo si haba huo mzigo ni hatari na nusu
Kisa nini? π ni tamu hatari[emoji23]weee ile skupiii
Navimba huku mwenzenuππππTrakoo trakooooππππ ndioooooππππ!!
Umenougaaa!!
Nakuona bishoo π€ π€ π€ picha za vyakula huku mfukoni tuna batiLunchtime. Tupieni picha za vyakula..
View attachment 2354424
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]subhana llaaah! nimepata bwana ! ahsante brooo!!!sijui team mwewe walikua Wapi!Selfika na #tigo#
*104*430307945945330#