Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikijua kusoma na Kuandika tu 2025 nakwenda kuchukua fomu ya Kugombea Ile nafasi ya Juu, then nitakufanya Waziri wa Elimu ya Watu Wazima 🤸🤸
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!! Nilivo na juhudi ili madogo wafaulu Hakyanani sikubareeee!! Nitafanya juu chini walai Uwazirii nimepata mbonaa iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃🤸🤸🤸🤸!!
 
Hawa huwa ni wahubiri au wanasaikolojia?
Siku hizi mahubiri mengi (kama unaweza kuyaita mahubiri) yameegemea sana kwenye ishu za kijamii - ndoa, mahusiano, utajiri na mipasho. Ukihubiri juu ya watu kuacha dhambi na kusimama katika kweli na utauwa utakimbiwa. Na jamaa wanajua kweli kucheza na akili za waumini wao. Huoni akina Daniel Mgogo wamekuwa mashuhuri kwa mipasho tu na comedy madhabahuni?

Ni injili ya Kisasa hii. Pesa! 🙏🏿
 
Kaa nami ni usiku sana
Usiniache gizani bwana
Msaada wako haukomi
Nili peke yangu kaa nami
Siku zetu hazikawii kuisha
Siioni lakunifirahisha
Hakuna ambacho hakikomii
Usiye na mwisho kaa nami
IMG_20220911_190533_50.jpg
 
Back
Top Bottom