Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
haya sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
pesa kidogo tu inatosha kukoleza mahaba . raha ya kuhudumiwa na mtu wako .
haya sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Haya niwekeedhambi ipi , nakuwekea picha bila emoji
Aisee unaonekana mtaalamu sana wa mahaba ww bintihaya sasa
pesa kidogo tu inatosha kukoleza mahaba . raha ya kuhudumiwa na mtu wako .
uone komwe langu lolHaya niwekee
bado learner mie , ningekuwa mtalamu nisingekuwa single hahha.Aisee unaonekana mtaalamu sana wa mahaba ww binti
legendary[emoji119][emoji119][emoji119]
😁😁😁WALE WANAWAKE MNAOPENDA WANAUME WEUSI WAREFU WACHUKUENI BASI WALE JAMAA WAMECHEZA NA YANGA!!😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Ww ni kungwi uje unifundishe maana naachika sana [emoji23][emoji23][emoji23]bado learner mie , ningekuwa mtalamu nisingekuwa single hahha.
sina nilijualo huko kabisa
Eti komwe embu nitumie huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uone komwe langu lol
Nipo sweetheart...
sasa bora upate me mwenzio akuelekeze . mimi naongezea kidogo tu hapo.Ww ni kungwi uje unifundishe maana naachika sana [emoji23][emoji23][emoji23]
coming soonEti komwe embu nitumie huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole nitakupa hints umspoil babe wakoWw ni kungwi uje unifundishe maana naachika sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! 🧒 Ukijamba hapo ni kisanga
Kauli mbiu: Jenga kwanzaKazi na sala jumapiliView attachment 2353519
😎😎😎👋Kazi kaazziii!!
Safari njema mkuu!!✌️