cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,420
- 188,162
Nimefika mie.Amefika Cocaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]
Nimefika mie.Amefika Cocaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38]Vayolensi [emoji16]
View attachment 2351819
Andaa mapema sana yaniNiandae kigauni mapema haha
Mikocheni B Kuna mualiko wa kwayaKanisa lipi unipitie kabisa ?
Haya imeisha hiyoAndaa mapema sana yani
Usiniambie[emoji1787][emoji2297]Kimoja cha nguvu kinaketeketa moyo
Wale nyumbu wamekimbia wee mwanzo mwisho,wakashindwa kufunga kigoli kimoja[emoji16]
Ooh niceMikocheni B Kuna mualiko wa kwaya
Haya Coca, nasubiri umalize comments za juu tuendelee na stori shoss😁Nimefika mie.
Kamekua wakati kamezaliwa majuzi tu hapa. Mungu Aendelee kukabariki na kukatunza [emoji1545][emoji1545]My heartbeat [emoji3590]View attachment 2351224
Shikamoo marahabaOoh nice
Unipitie sipajui huko
Usilale sasa utaachwaOoh nice
Unipitie sipajui huko
MkuuKamekua wakati kamezaliwa majuzi tu hapa. Mungu Aendelee kukabariki na kukatunza [emoji1545][emoji1545]
Thank you WigeShikamoo marahaba
Mtoto mzuri
Mwenye lips zake[emoji151]
Mungu wa IsakaThank you Wige
Shikamoo
Natumai upo poa ?
Ameeen [emoji120]Kamekua wakati kamezaliwa majuzi tu hapa. Mungu Aendelee kukabariki na kukatunza [emoji1545][emoji1545]