Hapana; relax kabisa. Ukiamua kupambana na kitambi kweli; kitakutii tu. Mbona wengi wamezaa na Wana flat tummies? Nilikuwa nastress tu kwamba fat ya kwenye tumbo ni kipengele kinachohitaji juhudi haswa. Au unaweza ukawa huna asili ya tumbo at all; so utapeta tu.
Sio wote waliozaa wana vitambi inategemea na Mwili wako! Kuna wanawake wana watoto saba nane na wana tumbo flattttttttyyy!!
Na unaeza shangaa na kamwili kako hako ukizaa ukafutuka balaaa!!
Majibu yote yatapatikana ebu uzae kwanzaa!