Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kwanza Mimi hata hamu ya kula Sina.Hata mbuyu ulianza kama mchicha !
Sasa bora uwe tukunyema Tambi linajifichamo humohumo!!Bora hata wewe Madame una juhudi..
Kuna matukunyema yamebeba matumbo hapa utadhani viroba vya mchanga.
Nawasimanga lakini wapi!
Nikiwasimanga sana wanaanza kunitisha kwamba wananisubiri nizae.
Wanakula mavyakula tu bila mpango.
Kitambi ni kitambi tu.Sasa bora uwe tukunyema Tambi linajifichamo humohumo!!
Kasheshe uwe kembambaa afu uzae mbaya zaidi uwe na tambi la uzazi aiih!!!
Ukizaa ndio itajulikana fasting si tasting!!Kwanza Mimi hata hamu ya kula Sina.
Naweza Kaa kutwa nzima nisile na usiku nakula kidogo tu.
Halafu kila mwezi huwa nakuwa na ratiba za fasting siku 5 Hadi 10.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
NimechekaaaUkizaa ndio itajulikana fasting si tasting!!
😂😂😂😂😂😂Ukizaa ndio itajulikana fasting si tasting!!
Walau Mwili unawabeba!Kitambi ni kitambi tu.
Kama hawa ni wanene na vitambi vinaonekana.
Unataka kuzaaKuzaa mapema ni muhimu aisee uzazi changamoto baadae labda tu iwe umebanwa na kazi au ,Mambo mengine
Mungu atujaalie kwa kweli maana bila yeye hatuwezi kitu .
Sisi miili huwa inaongezeka kadiri tunavyozidi kuzaaWalai Mwili unawabeba!
Ukizaa majibu yote yatapatikana!
Kitambi ni kipengele kinachojitegemea binafsi. Kinahitaji discipline ya kivyakeKwanza Mimi hata hamu ya kula Sina.
Naweza Kaa kutwa nzima nisile na usiku nakula kidogo tu.
Halafu kila mwezi huwa nakuwa na ratiba za fasting siku 5 Hadi 10.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sisi miili huwa inaongezeka kadiri tunavyozidi kuzaa
Ila vitambi siyo kabisa aisee.
Wadada wazurii ila wameendekeza vitambi..hata mazoezi hawataki kufanya.
Lizzy ana watoto na kitambi hana.
Kitambi ni kipengele kinachojitegemea binafsi. Kinahitaji discipline ya kivyake
Kwa hiyo unanisimanga?
Sio wote waliozaa wana vitambi inategemea na Mwili wako! Kuna wanawake wana watoto saba nane na wana tumbo flattttttttyyy!!Sisi miili huwa inaongezeka kadiri tunavyozidi kuzaa
Ila vitambi siyo kabisa aisee.
Wadada wazurii ila wameendekeza vitambi..hata mazoezi hawataki kufanya.
Lizzy ana watoto na kitambi hana.
Hapana; relax kabisa. Ukiamua kupambana na kitambi kweli; kitakutii tu. Mbona wengi wamezaa na Wana flat tummies? Nilikuwa nastress tu kwamba fat ya kwenye tumbo ni kipengele kinachohitaji juhudi haswa. Au unaweza ukawa huna asili ya tumbo at all; so utapeta tu.
Ngoja tuone..
Nisiongee sana wakati sijafika.
Yeah kweli; wengine after weeks tu katumbo kaleeee. Wengine ndiyo yanazidi kutanukaSio wote waliozaa wana vitambi inategemea na Mwili wako! Kuna wanawake wana watoto saba nane na wana tumbo flattttttttyyy!!
Na unaeza shangaa na kamwili kako hako ukizaa ukafutuka balaaa!!
Majibu yote yatapatikana ebu uzae kwanzaa!
Yeah!!Yeah kweli; wengine after weeks tu katumbo kaleeee. Wengine ndiyo yanazidi kutanuka