Selfika na JF: Snap it. Show it

🀠🀠🀠🀠 Hayo yana virutubisho vyenyewe kienyeji hilo
Protini iliyopo kwenye yai ni sawa na mtu ale boga zima kwa mujibu wa wataalamu, thats why kuna tu vyakula wazungu huwa wanakula unasema hivi anashiba kweli? tushazoea wali sahani ijae na maharagwe ya kutosha, unaweza kula kidogo lakini chakula kikawa na nutrients za kutosha...
 
Mambo si haya, kifurshi 🀠🀠
 
Its all about quality vs quantity, quantity ndogo but inakuwa ina high calories, high fat e.t.c

We unakula sana halafu mazoezi kidogoo 🀏, anza kulima..πŸ˜€

Lakini usiache kula wala kupunguza portion
 
Its all about quality vs quantity, quantity ndogo but inakuwa ina high calories, high fat e.t.c

We unakula sana halafu mazoezi kidogoo 🀏, anza kulima..πŸ˜€
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!! Juzikati nilimaintain Diet na mazoezi nilinoga kweri kweri!!
Naona njaa imeanza kwa speeed balaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…